Lilian Nabora : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa [[Wanaharakati]] wanawake wenye ushawishi [[Tanzania]]na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.<ref>http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/2017/07/waziri-dkt-mwakyembe-awa-mgeni-rasmi.html</ref> |
‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa [[Wanaharakati]] wanawake wenye ushawishi [[Tanzania]] na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.<ref>http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/2017/07/waziri-dkt-mwakyembe-awa-mgeni-rasmi.html</ref> |
||
==Wasifu== |
==Wasifu== |
||
Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya [[Temeke]] Jijini Dar es Salaam. Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botiswana huko Brussels, akifanya kazai kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya Ofisi . |

Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti. |
Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti. |
||
Lilian anaishi nchini |
Lilian anaishi nchini [[Ubelgiji]] |
||
==Harakati== |
==Harakati== |
||
Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umasikini na ugonjwa wa UKIMWI. Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO). |

Pitio la 19:52, 9 Septemba 2018
‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa Wanaharakati wanawake wenye ushawishi Tanzania na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.[1]
Wasifu
Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam. Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botiswana huko Brussels, akifanya kazai kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya Ofisi . Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti. Lilian anaishi nchini Ubelgiji
Harakati
Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umasikini na ugonjwa wa UKIMWI. Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO).
Marejeo
[2].