Anna Makinda : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:
[[Jamii:Waliozaliwa 1949]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1949]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]][[Jamii:Wanasiasa wanawake Tanzania]]

Pitio la 09:24, 21 Aprili 2018

Makinda

Anna Semamba Makinda (amezaliwa tar. 15 Julai 1949) ni mbunge wa jimbo la Njombe Kusini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Pia alikuwa Naibu Spika wa Bunge tangu 2006 hadi 2010. Kwa sasa ndiye Spika wa Bunge la Tanzania. Mwaka wa 1990 na 1995 alikuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Pia miaka ya nyuma alishawahi kushika nyandhifa kadha wa kadha.

Marejeo

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Makinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.