Saga wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Mchoro wa Saga '''Saga''' (10 Oktoba, 78624 Agosti, 842) alikuwa mfalme mkuu wa 52 (''Te...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:28, 19 Oktoba 2017

Mchoro wa Saga

Saga (10 Oktoba, 78624 Agosti, 842) alikuwa mfalme mkuu wa 52 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michiyasu, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Kanmu. Mwaka wa 809 alimfuata kaka yake, Tenno Heizei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 823. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Junna.

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saga wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.