Giza (Misri) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3: | Mstari 3: | ||
|picha_ya_satelite = Giza1960s.jpg |
|picha_ya_satelite = Giza1960s.jpg |
||
|maelezo_ya_picha = Wakati wa miaka ya 1960 bado palikuwa na mashamba Giza |
|maelezo_ya_picha = Wakati wa miaka ya 1960 bado palikuwa na mashamba Giza |
||
|image_flag = Flag of Giza Governorate.png |
|||
|flag_size = |
|||
|image_seal = Coat_of_arms_of_Giza_Governorate.png |
|||
|seal_size = |
|||
|pushpin_map = Misri |
|pushpin_map = Misri |
||
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Giza katika Misri |
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Giza katika Misri |
Pitio la 14:19, 24 Agosti 2017
Giza | |
Mahali pa mji wa Giza katika Misri |
|
Majiranukta: 30°01′N 31°13′E / 30.017°N 31.217°E | |
Nchi | Misri |
---|---|
Mkoa | Giza |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,443,490 |
Giza (pia: Gizeh, kutoka Kar.: الجيزة al-gīza) ni mji wa kaskazini ya Misri unaopakana na mji mkuu Kairo. Kuna wakazi 2,443,490 (2005).
Mji wa Giza waonekana kama mtaa wa Kairo tu lakini ni mji wa pekee. Zamani ilitengwa na mji mkuu kwa uwazi wa mashamba lakini siku hizi miji yote miwili imekua hadi kugusana kabisa.
Giza yajulikana hasa kama mahali pa piramidi.