Sindano : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Sindano.jpg|thumb|sindano]] |
[[Picha:Sindano.jpg|thumb|sindano inayotumika kwaajiliya dawa.]] |
||
'''Sindano''' inaweza kutafsiriwa kama ifuatavyo: |
'''Sindano''' inaweza kutafsiriwa kama ifuatavyo: |
||
Pitio la 14:04, 11 Agosti 2017
Sindano inaweza kutafsiriwa kama ifuatavyo:
- Sindano ya kushonea ni kifaa maalumu chenye ncha kali na tundu la kupenyezea uzi ambacho hutumika kwa kushonea.
- Sindano (tiba) ni kifaa maalumu kinachotumika kupenyezea dawa katika mwili wa mtu au mnyama.
- Mchele sindano ni aina ya mchele mwembamba.
- Embe sindano ni aina mojawapo ya embe dogo na jembamba.