Ma Jun (mwanamazingira)
Mandhari
'
Ma Jun (mwanamazingira) | |
---|---|
Ma Jun | |
Amezaliwa | 22 Mei 1968 |
Kazi yake | mwanamazingira, mshauri wa mazingira |
Ma Jun (alizaliwa 22 Mei 1968) ni mwanamazingira, mshauri wa mazingira, na mwandishi wa habari wa China. Yeye ni mkurugenzi wa Taasisi ya Masuala ya Umma na Mazingira (IPE).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ma Jun (mwanamazingira) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |