Nenda kwa yaliyomo

MBS (hip hop)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MBS, kifupi cha Le Micro Brise Le Silence (kipaza sauti huvunja ukimya) ni kikundi cha muziki wa kufoka kilichoanzishwa mwaka 1988 nchini Algeria. Wanaimba kwa Kiarabu, Kabyle na Kifaransa wanaongozwa na Rabah Ourrad. Nyimbo zao mara nyingi huzungumza dhidi ya serikali ya Algeria.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  • 1997, Ouled al Bahdja (Children of the Radiant One)
  • 1998, Hbibti Aouama (My Lover Is a Good Swimmer)
  • 1999, Le Micro Brise Le Silence (The Mic Breaks the Silence)
  • 2001, Wellew (They Have Returned)
  • 2005, Maquis Bla Sleh (Marquis Without Weapons)

Rabah (solo)Edit

[hariri | hariri chanzo]
  • 2002, Galouli (They Told Me)
  • 2003, Djabha gagant (Winning Front)
  • 2004, President
  • 2011, Dernier Cri (Last Cry)