Nenda kwa yaliyomo

Mário Roberto Emmett Anglim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mário Roberto Emmett Anglim, C.Ss.R. (Marekani, 4 Machi 192213 Aprili 1973) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa Prelati wa kwanza wa Prelature ya Kiwilaya ya Coari, iliyopo jimbo la Amazonas, Brazil kutoka mwaka 1964 hadi 1973.[1]

  1. "Redemptorist named Coadjutor Bishop Prelate of Coari, Brasil". www.scalanews.com. Iliwekwa mnamo 2010-06-08.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.