Nenda kwa yaliyomo

Luzon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya ramani ikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino

Luzon ni kisiwa kikubwa zaidi katika Ufilipino. Iko kaskazini mwa nchi. Mji mkuu wa Manila uko Luzon, pamoja jiji la Quezon ambalo ni jiji kubwa nchini [1].

Eneo la Luzon ni kilomita za mraba 108,172 na idadi ya wakazi ni zaidi ya milioni 48.

  1. Islands of Philippines, Luzon Archived 28 Aprili 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya UNEP , iliangaliwa Oktoba 2019]
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.