Lusala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lusala Ni filamu ya kuchekesha ya kikenya iliyoandaliwa na Silas Miami, Wanjeri Gakuru na Oprah Oyugi, Mwaka 2019 na kuongozwa na Mugambi Nthiga kwenye uongozi wake wa kwanza[1].

Nyota wa filamu hii ambao ni Brian Ogola, Alyce Wangari, Stycie Waweru, Mkamzee Mwatela na Alan Oyugi katika majukumu yote ya uongozi. Filamu imejikita kwenye maisha ya kijana mdogo Lusala mwenye umri wa miaka 22, ambaye amejikuta na matatizo ya afya ya akili na upendo kupitilza kwa ndugu yake. Filamu hii ilizinduliwa kwa mara ya kwanza nchi Kenya mnamo juni 6 mwaka 2019 wakati wa tamasha la filamu la NBO na pia filamu hii ilioneshwa kwenye baadhi ya matamasha ya filamu ya kimataifa[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lusala kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.