Lupe Anguiano
Mandhari
Lupe Anguiano (alizaliwa 12 Machi 1929) ni mwanaharakati wa nchini Marekani anayejulikana kwa kazi yake kupigania haki za wanawake, haki za maskini, na hifadhi ya mazingira. Anasifiwa kwa kuleta uungwaji mkono wa kidini na kusaidia kuanzisha upya mijadala ya kidini ili kujumuisha katika masuala hayo ya nchi nzima.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lupe Anguiano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |