Luka Božič

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luka Božič (alizaliwa 9 Januari 1991) ni mchezaji mwendesha mtumbwi wa slalom, Kislovenia ambaye ameshindana katika kiwango cha kimataifa tangu mwaka 2006. Alianza kama mwelekezi wa daraja la C2 akishirikiana na Sašo Taljat kwenye mashua hadi tukio la daraja la C2 lilipofika mwaka wa 2017. Tangu mwka 2013 Luka amekuwa akiendesha mtumbwi akiwania kushindana kimataifa katika daraja la C1.[1]

Luka Božič

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Luka BOZIC (SLO)". CanoeSlalom.net. Iliwekwa mnamo 3 December 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luka Božič kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.