Luiza Gega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luiza Gega (Alizaliwa Novemba 5, 1988) mwanariadha kutoka nchini Albania alibobea kwenye mbio za umbali wa kati[1]. Ameshikilia rekodi nchini Albania kwenye mbio za mita 800,1500,3000,5000, 10,000, nusu marathoni na umbali wa marathoni na pia mbio za mwinuko za mita 3000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Luiza GEGA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.