Lugha za Kiyanyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kiyanyi (au za Kigarawan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha mbili tu ambazo huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: Kigarrwa na Kiwaanyi. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyanyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.