Kigarrwa
Mandhari
Kigarrwa (au Kigarawa) ni lugha ya Kiyanyi nchini Australia inayozungumzwa na Wagarrwa katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2012, kulikuwa na wasemaji wa Kigarrwa 59 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigarrwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigarrwa Archived 15 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigarrwa katika Glottolog
- lugha ya Kigarrwa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigarrwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |