Lugha za Kitor-Kwerba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kitor-Kwerba ni familia ndogo ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Papua, nchini Indonesia. Katika familia hiyo kuna lugha 24. Kabla ya 2005, lugha za Kitor-Kwerba huangaliwa kuwa ndani ya familia ya lugha za Kitrans-Niugini.

Orodha[hariri | hariri chanzo]

Majina ya lugha za Kitor-Kwerba ni yafuatavyo:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitor-Kwerba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.