Kimander

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimander ni lugha ya Kitor-Kwerba nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamander. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimander imehesabiwa kuwa watu 20 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimander iko katika kundi la Tor.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimander kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.