Lugha za Kigiimbiyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la lugha za Kigiimbiyu barani mwa Australia (rangi ya kizambarau)

Lugha za Kigiimbiyu ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tatu tu ambazo zilikuwa huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: Kierre, Kimangerr na Kiurningangg. Lugha hizo zote zimetoweka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kigiimbiyu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.