Kierre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kierre kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Waerre katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kierre ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kierre kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.