Lugha hai
Mandhari
Lugha hai ni lugha yoyote inayoendelea kutumika kwa mawasiliano ya kila siku. Hata akibaki mtu mmoja tu ambaye kwake lugha fulani ni lugha mama, hiyo inahesabika bado hai.
Kati ya lugha hai, zilizo na wasemaji asili wengi zaidi ni:
- Kichina, milioni 918 hivi
- Kihispania, milioni 460 hivi
- Kiingereza, milioni 379 hivi
- Kihindi, milioni 341 hivi
- Kiarabu, milioni 324 hivi
- Kibengali, milioni 228 hivi
- Kireno, milioni 221 hivi
- Kirusi, milioni 154 hivi
- Kijapani, milioni 128 hivi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha hai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |