Nenda kwa yaliyomo

Lugha fasaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha fasaha (kutoka maneno ya Kiarabu) ni lugha inayozingatia kanuni za matamshi, muundo na mantiki katika lugha hiyo.

Misingi ya lugha fasaha

[hariri | hariri chanzo]
  • utamkaji wa maneno
  • miundo ya tungo
  • utumiaji sahihi wa misamiati

Umuhimu wa ufasaha wa lugha

[hariri | hariri chanzo]
  • husaidia kuelewana baina ya watu
  • hudumisha taratibu za kisarufi
  • hufikisha ujumbe katika hali ya uwazi
  • hukuza hadhi ya lugha
  • hufanya lugha kuwa ya mvuto
  • hufanya lugha katika misingi yake sahihi
  • huleta urahisi wa lugha kufahamika kwa wengi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha fasaha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.