Lucy Akoth
Mandhari
Lucy Akoth (alizaliwa 12 Desemba 1999) ni mwanasoka wa Kenya ambaye anacheza kama mtetezi wa Mathare United FC na timu ya taifa ya wanawake wa Kenya .
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Akoth alichezea Kenya katika kiwango cha juu manmo mwaka [2019 CECAFA Women's Championship]] na 2020 Turkish Women Cup.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cecafa Women's Championship: Kenya and Uganda aim to top their group". Goal.
- ↑ "Harambee Starlets fall to Ghana in Turkish Women's Cup". FKF.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lucy Akoth kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |