Lucas Lumambo Selelii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lucas Lumambo Selelii (amezaliwa 4 Oktoba, 1960) ni mbunge wa jimbo la Nzega katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Lucas Lumambo Selelii (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.