Long long time ago 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Long long time ago 2 ni filamu ya nchini India ya mwaka 2016 ikiongozwa na Jack Neo. Filamu hio inahusisha maadhimisho ya miaka 50 ya nchi ya India na ikisheheni nyota kama Aileen Tan, Mark Lee na Wang Lei kama waigizaji wakuu wa filamu hio.Filamu hio iliachiwa mnamo tarehe 31 Machi 2016.

Ikiwa ni filamu ya pili katika mfuatano wa filamu za Long long time ago ikiwa ni muendelezo wa Long Long Time Ago (2016).

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Aileen Tan kama Lim Zhao Di
  • Mark Lee kama Lim Ah Kun, mdogo wake na Zhao Di
  • Wang Lei kama Si Shu, Baba yake na Zhao Di
  • Ng Suan Loi kama Si Shen, Mama yake na Zhao Di
  • Charmaine Sei kama Ah Feng,Mke wake na Ah Kun
  • Benjamin Josiah Tan kama Lim Ah Hee, Mdogo wake na Zhao Di ambae ni mmoja wapo wa wanakikundi wa kwanza wa kikundi cha wanajeshi wa taifa la Singapore.
  • Ryan Lian kama Ah Long, Mhalifu
  • Cynthia Kuang kama Su Ting, Binti mkubwa wa Zhao Di
  • Yan Li Xuan kama young Su Ting
  • Suhaimi Yusof kama Osman,Muuzaji wa vyakula kutoka Malay
  • Nurijah binte Sahat kama Fatimah, Mke wa Osman
  • Silvarajoo Prakasam kama Shamugen
  • Bharathi Rani kama Rani, Binti wa Shamugen, Mchumba na baadae mke wa Ah Hee
  • Mastura Ahmad
  • Nick Shen
  • Yoo Ah Min
  • Zhang Wei


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Long long time ago 2 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.