Nenda kwa yaliyomo

Lodi (Lombardia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa mji wa Lodi.
Ramani ya wilaya ya Lodi.

Lodi ni mji wa Lombardia, Italia Kaskazini, wenye wakazi 43,332 (sensa ya mwaka 2011). Ni makao makuu ya wilaya ya Lodi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
    Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Lodi (Lombardia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.