Llullaillaco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Llullaillaco ni mlima wa Andes katika nchi za Ajentina na Chile (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 6,738 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]