Liskamm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Lyskamm upande wa Kaskazini-Mashariki

Liskamm (pia Lyskamm) ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,527 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Liskamm kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.