Nenda kwa yaliyomo

Linda Masarira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Linda Masarira

Linda Tsungirirai Masarira (alizaliwa 1982) ni mwanasiasa wa Zimbabwe ambaye aliwahi kuwa msemaji wa kikundi kidogo cha vyama vya upinzani nchini Zimbabwe, MDC-T kinachoongozwa na Thokozani Khuphe [1].

  1. "Newly Appointed MDC T Spokesperson, Linda Masarira Issues Maiden Press Statement". Zimeye.net. 26 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Masarira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.