Lina Hurtig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanasoka Lina Hurtig
Mwanasoka Lina Hurtig

Lina Mona Andréa Hurtig (amezaliwa Septemba 5, 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu Mswidi anayecheza kama mshambuliaji kwenye ligi ya Serie A klabu ya Juventus F.C. na pia timu ya taifa ya Uswidi[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wayback Machine. web.archive.org (2019-06-06). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  2. Lina HURTIG. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.