Lil Kesh
Mandhari
Keshinro Ololade (anajulikana kama Lil Kesh, amezaliwa 17 Machi 1995) ni rapa, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.
Maisha ya Awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Ololade alizaliwa na kukulia Bariga, eneo la Jimbo la Lagos. Alisoma shule ya msingi na sekondari katika Stockbridge College, kisha akaendelea katika Chuo Kikuu cha Lagos, ambako alisomea Isimu. Baadaye, alijiunga na Chuo Kikuu cha Taifa cha Open (National Open University) na kusomea Mawasiliano ya Umma kwa njia ya mtandaoni.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Abimboye, Micheal (24 Desemba 2014). "Kiss Daniel, Lil Kesh others to rule 2015". Premium Times. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "MUST WATCH! AMBER ROSE Dances To Lil Kesh's 'SHOKI' At D'banj's Concert". Information Nigeria. 1 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hanifah, Ali (2015-11-23). "Lil kesh - Biography of Lil Kesh". Passnownow (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-08-15. Iliwekwa mnamo 2023-11-05.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lil Kesh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |