Leslie Marmon Silko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leslie Marmon Silko

Leslie Marmon Silko (au Leslie Marmon; alizaliwa Machi 5,mwaka 1948) ni mwandishi wa Marekani, mwanamke wa kabila la Waindio la Laguna Pueblo, na ni mmoja wa watu muhimu katika Wimbi la Kwanza la mkosoaji wa fasihi Kenneth Lincoln lililoitwa Renaissance ya Native American.

Silko alikuwa mpokeaji wa kwanza wa MacArthur Foundation Grant mnamo mwaka 1981, tuzo ya Native Writers' Circle of the Americas [1] na Tuzo ya Robert Kirsch mnamo mwaka 2020. [2] Hivi sasa anaishi Tucson, Arizona .

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. List of NWCA Lifetime Achievement Awards, accessed August 6, 2010.
  2. Pineda (2021-04-17). Winners of the 2020 L.A. Times Book Prizes announced (en-US). Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo 2021-04-17.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leslie Marmon Silko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1965, aliolewa na Richard C. Chapman, na kwa pamoja, walipata na mtoto wa kiume, Robert Chapman, kabla ya kuachana mnamo mwaka 1969

Mnamo mwaka 1971,yeye na John Silko walifunga ndoa. Walikuwa na mtoto wa kiume, Casimir Silko. [1] Ndoa hii pia ilimalizika kwa talaka. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Silko, Leslie Marmon; Arnold, Ellen L. (2000). Conversations with Leslie Marmon Silko. UP of Mississippi. p. xv. ISBN 9781578063017. Retrieved June 1, 2016. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leslie Marmon Silko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.