Leopold matrix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
hii picha inaonyesha mwingiliano wa Leopold Matrix

Leopold matrix ni Tathmini ya athari za mazingira kwa ubora iliyotengenezwa mwaka 1971 na Luna Leopold kwa ushirikiano wa USGS. Inatumika kutambua na kuipa thamani ya namba athari za mazingira kwa miradi iliowasilishwa ya mazingira. Ilikuja kama majibu kwa National Environmental Policy Act of 1969 ambayo ilikosolewa kwa kukosa muongozo wenye tija kwa ajili ya mawakala wa serikali kwenye namna sahihi ya kutabiri athari za mazingira na uuandaji wa ripoti za athari[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Leopold, Luna Bergere; Clarke, Frank Eldridge; Hanshaw, Bruce B.; Balsley, James R. (1971). A procedure for evaluating environmental impact. https://pubs.er.usgs.gov/publication/cir645.