Leo Boccardi
Mandhari
Leo Boccardi (alizaliwa 15 Aprili 1953) ni askofu wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu katika huduma ya kidiplomasia ya Vatican kuanzia mwaka 1987 hadi alipostaafu mwaka 2021. Alikuwa na hadhi ya askofu mkuu na alishikilia wadhifa wa balozi wa Papa (apostolic nuncio) tangu mwaka 2007.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 24.03.2001 (Press release). Holy See Press Office. 24 March 2001. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2001/03/24/0170/00473.html. Retrieved 7 April 2019.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |