Leigh Ashton
Mandhari

Leigh Ashton (alizaliwa Manchester, Uingereza, 11 Aprili 1956) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpiga kinanda na mwigizaji kutoka Johannesburg, Afrika Kusini, alikohamia akiwa na umri wa miaka mitatu.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Ashton alijiunga na David Gresham Productions kama mwimbaji na mtunzi wa nyimbo akiwa na umri wa miaka 19. Wimbo wake wa kwanza ulikua "Love Me" ulitolewa mnamo Novemba 1975. Ashton alifanya kazi na baadhi ya wanamuziki bora zaidi nchini wakati huo wakiwemo kina Trevor Rabin, Julian Laxton na Allan Goldswain. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [The Sunday Express, 28 August 1977, Better Living Supplement, pg 11]
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leigh Ashton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |