Lehlogonolo Tholo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lehlogonolo "Hlogi" Sechaba Tholo (alizaliwa tarehe 12 Desemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Afrika kusini kwenye klabu Cape Town Tigers pia na timu ya taifa nchini humo.

Wasifu wake[hariri | hariri chanzo]

Msimu wa 2021, Tholo allicheza timu ya Soweto Panthers. Akiwa na timu iyo, alifika fainali ya BNL na rekodi yake ya pointi 25, rebaundi 5 katika pasi 7.[1] Nakutangazwa kuwa MVP wa mchezo.[2]

Tangu 2021, Tholo yuko kwenye orodha ya wachezaji wa Cape Town Tigers.[3]

Majukumu katika timu ya taifa[hariri | hariri chanzo]

Tholo alichezea timu ya taifa, Afrika kusini katika mashindano ya AfroBasket mwaka 2017. Mchezo wa pili dhidi ya Msumbiji alifunga pionti 12.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lehlogonolo Tholo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-24, iliwekwa mnamo 2022-09-02 
  2. "Lehlogonolo Tholo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-24, iliwekwa mnamo 2022-09-02 
  3. "Miguel FERRAO at the ROAD TO BAL 2022 2021". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-02. 
  4. "Lehlogonolo Tholo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-24, iliwekwa mnamo 2022-09-02