Nenda kwa yaliyomo

Lee Kang-in

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lee mnamo 2022

Lee Kang-in (alizaliwa 19 Februari 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Korea Kusini, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Korea Kusini.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce44/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Lee Kang-In signs for Paris Saint-Germain". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2023-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lee Kang-in kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.