Lawi (babu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lawi ni jina la mtoto wa kiume wa tatu wa Yakobo Israeli na babu la kabila la Israeli lililoitwa kwa jina lake mwenyewe.

Mtu maarufu zaidi wa kabila hilo ni Musa. Kutoka kwa kaka yake Haruni walitokea makuhani halali wa Israeli, waliosaidiwa na Walawi wengine katika kuendesha ibada.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawi (babu) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.