Nenda kwa yaliyomo

Lauren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lauren Eduarda Leal Costa (alizaliwa 13 Septemba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Brazili.[1][2][3]

  1. http://www.saopaulofc.net/equipe/elenco-feminino/categoria-adulta
  2. "Kansas City Current signs Brazilian defender Lauren Eduarda Leal Costa". KSHB 41 Kansas City News (kwa Kiingereza). 2023-07-24. Iliwekwa mnamo 2024-09-22.
  3. "Brazil 0-1 United States: Emma Hayes leads USA to Olympic gold". BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-09-22.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lauren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.