Nenda kwa yaliyomo

Landon Donovan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Landon Donovan mwaka 2004

Landon Donovan (alizaliwa 4 Machi 1982) ni mchezaji wa soka wa Amerika ambaye anacheza Ligi kuu ya Marekani katika klabu ya San Diego Sockers. Anashikilia rekodi nyingi za mtu mmoja katika Ligi Kuu ya marekani na timu ya taifa ya marekani na anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji wakuu wa mpira wa miguu wa Marekani wa wakati wote.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Club León[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 12 Januari, 2018, Donovan alisaini mkataba katika Klabu ya Club León,mnamo Februari 10, 2018 alicheza lakini aliingia kama mbadala katika dakika ya 83 katika ushindi wa 2-1 wa Leon dhidi ya Club Puebla.

Alifunga goli lake la kwanza katika Klabu hiyo mnamo 24 Machi, 2018, katika mchezo wa marudiano dhidi ya timu yake ya zamani iitwayo San Jose Earthquakes Mnamo 17 Juni 2018, Klabu ya Leon ilitangaza kuwamkataba wa Donovan umekwisha.

San Diego Sockers[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 24 Januari , 2019, Donovan alisaini mkataba na klabu ya San Diego Sockers katika Ligi kuu ya Soka ya marekani.

Alisaidia klabu yake katika ushindi wa 6-4 dhidi ya Tacoma Stars wakati,Pia landon alifunga m agoliyake mawili ya kwanza kwa Sockers katika mchezo uliofuata kwa ushindi wa magoli 13-2 dhidi ya Turlock Express, akifungua goli baada ya sekunde 12 tu za mchezo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Landon Donovan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.