Nenda kwa yaliyomo

MC Lyte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lana Michele Moorer)
MC Lyte
MC Lyte akiwa katika Tuzo za BET Hip Hop mjini Atlanta, mnamo 14 Oktoba 2007.
MC Lyte akiwa katika Tuzo za BET Hip Hop mjini Atlanta, mnamo 14 Oktoba 2007.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Lana Michele Moorer
Pia anajulikana kama MC Lyte
Amezaliwa 11 Oktoba 1971
Asili yake Brooklyn, New York
Aina ya muziki Hip hop
R&B
Rap
Kazi yake Mwanamuziki
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1984–hadi leo
Ame/Wameshirikiana na Audio Two

Almost Septemba

Tovuti http://www.mc-lyte.com

Lana Michele Moorer (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama MC Lyte; amezaliwa Brooklyn, New York, 11 Oktoba 1971)[1]

ni msanii wa muziki wa rap wa kike na ni ndugu wa Milk Dee na Gizmo, ambao waliokuwa wanafanya rekodi zao kwa jina la Audio Two. MC Lyte ni mmoja kati ya wanachama wa Sigma Gamma Rho Sorority, Inc.

Albamu za muziki

[hariri | hariri chanzo]

Single zake

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Chati iliyoshika Albamu
US Hot 100

US R&B/Hip-Hop US Rap UK Singles Chart
1988 "I Cram To Understand You (Sam)" Lyte As A Rock
"10% Dis"
"Paper Thin" #35 #1
1989 "Cha Cha Cha" #1 - Eyes on This
"Cappuccino" #8
"Stop Look Listen"
"I'm Not Havin' It " #16 The First Priority Music Family: Basement Flavor
1991 "When in Love" #14 #3 Act Like You Know
"All That"
"Poor Georgie" #83 #11 #1
1992 "Eyes Are the Soul" #84
"Ice Cream Dream" #11 Mo' Money Kibwagizo/Ain't No Other
1993 "Ruffneck" #35 #10 #1 #67 Ain't No Other
"I Go On" #68 #27
1994 "Freedom" #18 #10 Panther kibwagizo
1996 "Keep On, Keepin' On" (akimshirikisha Xscape) #10 #3 #2 #27 Sunset Park kibwagizo
1997 "Cold Rock a Party" (akimshirikishaMissy Elliott na Puff Daddy) #11 #5 #1 #15 Bad as I Wanna B
"Druglord Superstar"
"Everyday" - #44
1998 "I Can't Make A Mistake" #46 Seven & Seven
"It's All Yours" (akimshirikishaGina Thompson) #36
2003 "Ride Wit Me" #36 Da Underground Heat Vol. 1 CD
  1. Prato, Greg. "Biography". Allmusic. All Media Guide. Iliwekwa mnamo 2008-03-05.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu MC Lyte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.