Nenda kwa yaliyomo

Lamphua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lamphua ni jina la mji wa kale na uaskofu kipindi cha Afrika ya Kirumi, ambao bado linaheshimiwa kama jimbojina katika Kanisa Katoliki la Kilatini.

Kwa sasa, eneo hilo lipo katika sehemu inayoitwa Aïn-Foua, nchini Algeria[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.gcatholic.org/dioceses/former/t0970.htm GCatholic, with titular incumbent links
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lamphua kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.