Lamecha Girma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lamecha Girma
Lamecha Girma

Lamecha Girma (alizaliwa 26 Novemba 2000) ni mwanariadha wa Ethiopia ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 3000 za kuruka viunzi.[1] Akiwakilisha Ethiopia katika Mashindano ya Riadha ya Dunia ya 2019, alishindana katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji kwa wanaume ambapo alishinda medali ya fedha, na kuweka rekodi mpya ya kitaifa ya Ethiopia ya saa 8:01.36.[2] Katika Olimpiki ya Majira ya joto 2020, Girma alishinda medali ya fedha kwa muda wa 8:07.81.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lamecha GIRMA | Profile | World Athletics. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
  2. IAA Doha 2019.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-26. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.