Nenda kwa yaliyomo

Lambaesis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
ArcAR

Lambaesis (Lambæsis, Lambaisis au Lambaesa; Lambèse katika Kifaransa cha kikoloni) ni tovuti ya akiolojia ya Kirumi nchini Algeria ni takribani kilomita 11 sawa na maili 7 kusini mashariki mwa Batna na takribani kilomita 27 sawa na maili 17 kutokea magharibi mwa Timgad, ambapo ipo karibu na kijiji cha kisasa cha Tazoult.[1]

  1. René Cagnat. Lambèse. Lerous, Paris 1893 (Original in French)
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lambaesis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.