Nenda kwa yaliyomo

Lalla Batoul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lalla Batoul
Amezaliwa
Moroko
Nchi moroko
Kazi yake Mwana arakati

Lalla Batoul Benaîssa (Kiarabu: لالة بتول بن عيسى) anaaminika kuwa mwanamke wa kwanza kutokea Moroko kufungwa kwa sababu za kisiasa. Alifungwa mnano mwaka 1910 na kuteswa jela na sultani Abdelhafid kama mke wa El-Bacha Benaïssa, Gavana wa Fez na mmoja wa wasaidizi wakuu wa kaka yake Abdelaziz ambaye alikuja kupinduliwa mnamo mwaka 1908.[1][2]

Mnamo mwaka 1910 gazeti linaloandika taarifa za Uingereza lililo julikana kama The Times mwandishi Walter Harris alifichua kwamba Batoul alikua amefungwa katika seli ya ikulu uko Fez.

  1. "From Lalla el-Batoul to Oum Hamza: Moroccan Women's On-going Fight for Equality and Dignity - Publications | Heinrich-Böll-Stiftung | Tunisia - Tunis". Heinrich-Böll-Stiftung (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  2. Khamis, Sahar; Mili, Amel (2017-11-17). Arab Women's Activism and Socio-Political Transformation: Unfinished Gendered Revolutions (kwa Kiingereza). Springer. ISBN 978-3-319-60735-1.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lalla Batoul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.