Lakabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kijana George Sand (jina halisi: "Amantine Lucile Dupin").

Lakabu ni jina la kupanga analojipa au analopewa mtu kutokana na sifa fulani alizonazo kimaumbile ama kiutendaji.

Kwa mfano baadhi ya waandishi hujipa majina kurejelea uwezo walionao katika utunzi wa kazi fulani za kifasihi, ama watu wakamsifia mhusika fulani kwa kumpa jina kando na lile lake asilia.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lakabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.