Laia Aleixandri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laila akiwa na Atletico Madrid mnamo 2019

Laia Aleixandri López (alizaliwa 25 Agosti 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uhispania.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Spain - Laia Aleixandri - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. Aimara G. Gil (2018-08-21). "Laia Aleixandri, el muro de La Rojita". Diario AS (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laia Aleixandri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.