Nenda kwa yaliyomo

Léon Kalenga Badikebele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Léon Kalenga Badikebele in April 2017

Léon Kalenga Badikebele (17 Julai 195612 Juni 2019) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyehudumu katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani. Alipata hadhi ya kuwa Balozi wa Kitume kuanzia mwaka 2008 na alihudumu kama Balozi wa Kitume nchini Argentina kuanzia mwaka 2018 hadi kifo chake mnamo Juni 2019.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.