Léon Jouhaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Léon Jouhaux

Léon Jouhaux (1 Julai 187928 Aprili 1954) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kutoka nchi ya Ufaransa. Alisaidia kuanzisha mashirika mbalimbali kwa ajili ya wafanyakazi. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Léon Jouhaux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.