Kwesi Slay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Appiah ( alizaliwa 10 Juni,mnamo mwaka 1990), anajulikana kwa jina la kisanii Kwesi Slay, ni msanii wa hip hop na mburudishaji kutoka nchini Ghana. Anatoka Ashaiman-Tema. Kwesi Slay anafahamika kwa wimbo wake wa 2018 'Seven'[1][2].[3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Slay alianza kutambuliwa wakati alipoachia nyimbo yake ya kwanza ''3y3 kawaida" akishirikiana na Yaa Pono mnamo mwaka 2015. Aliachia "street Ways"[4] na ''Wedi Bet"[5][6] mwaka 2017. Julai 8, 2018, albam ya kwanza ya Kwesi Aben[7][8] iliachiliwa. Mnamo Desemba 2018, Slay alitoa wimbo wake wanne ''Follow Me" akimshirikisha msanii bora wa mwaka VGMA's Kuami Eugene[9][10].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  2. http://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Kwesi-Slay-drops-new-song-Seven-featuring-Kwesi-Arthur-670677
  3. https://profileability.com/kwesi-slay/
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-26. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-26. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-08. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  7. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  8. https://www.dcleakers.com/kwesi-slay-aben-ep-full-album/
  9. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2022-04-27. 
  10. http://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Kwesi-Slay-features-Kuami-Eugene-on-new-single-Follow-You-696434
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwesi Slay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.