Kuporomoka kwa Kanisa la Sinagogi kwa Mataifa Yote
Mandhari
Synagogue Church building collapse
Coordinate location | 6°32′48″N 3°16′22″E |
---|---|
Muda wa tukio | 12 Septemba 2014 |
Kuporomoka kwa Kanisa la Sinagogi kwa Mataifa Yote ni janga lililotokea katika jimbo la Lagos, Nigeria mnamo 2014.
Tarehe 12 Septemba 2014, nyumba ya wageni katika eneo la Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) ilianguka chini, na kuua watu wasiopungua 115, 84 kati yao walikuwa Waafrika Kusini.[1][2] Shirika la Kitaifa la Kusimamia Dharura (NEMA) na huduma nyingine za dharura zilikosolewa kwa kutotoa taarifa za kutosha kuhusu ajali hiyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "TB Joshua Lagos church collapse: Many South Africans dead". BBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-22. Iliwekwa mnamo 2023-12-20.
- ↑ Chioma Gabriel, Evelyn Usman, and Yinka Latona. "Tragedy: Scores die as Synagogue church building collapses". Vanguard News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-22. Iliwekwa mnamo 2023-12-20.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kuporomoka kwa Kanisa la Sinagogi kwa Mataifa Yote kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |